my eyes:
Kazi ya macho: S iku moja katika kutafakari nikajiuliza kwanini mungu ameumba viumbe mabalimbali vinapendeza na kuvutia vimeijaza nchi vikishangilia ukuu na utukufu wa mungu ,vikiruka ruka kwa furahaaa nikakundua kuwa mungu ni watofauti sana kuliko viumbe vingine vyote duniani na mbinguni.mungu alivyo waajabu akawapa viumbe hivyo viungo tofauti tofauti kwaajili ya kuwasaidia viumbe ivyo kuish na kumudu mazingira vizuri kwa mfano mungu aamevipa viumbe vyote uwezo wakusikia sauti mbalimabali kutoka kwenye mazingira aliyoko kiumbe icho.wanasanyasi wanasema kila kiumbe kilicho duniani kina uwezo wakuwasiliana na mwenzie kupita lugha. “language of the world”. pia nivugumu mno kwakiumbe kingine kuweza kusikia lugha ya kiumbe kingine na hii ina tokana na kitu kinachoitwa “the soul of the world”. ichindo kitu amba...