my eyes:

                                           Kazi ya macho:

 S

iku moja katika kutafakari nikajiuliza kwanini mungu ameumba viumbe mabalimbali vinapendeza na kuvutia vimeijaza nchi vikishangilia ukuu na utukufu wa mungu ,vikiruka ruka kwa furahaaa nikakundua kuwa mungu ni watofauti sana kuliko viumbe vingine vyote duniani na mbinguni.mungu alivyo waajabu akawapa viumbe hivyo viungo tofauti tofauti kwaajili ya kuwasaidia viumbe ivyo kuish na kumudu mazingira vizuri kwa mfano mungu aamevipa viumbe vyote uwezo wakusikia sauti mbalimabali kutoka kwenye mazingira aliyoko kiumbe icho.wanasanyasi wanasema kila kiumbe kilicho duniani kina uwezo wakuwasiliana na mwenzie kupita lugha. “language of the world”. pia nivugumu mno kwakiumbe kingine kuweza kusikia lugha ya kiumbe kingine na hii ina tokana na kitu kinachoitwa “the soul of the world”. ichindo kitu ambacho ukiwa nacho unaweza kujua “the language of the world” yani kujua lugha ya viumbe mbalimbali kwenye uso wa dunia kwa sababu lugha ni sauti za nasibu zenye maana kwa kundi lajamii Fulani au viumbe tofauti tofauti.

Katika kutafakari kwangu nikajiuliza kwanini kuna bahadhi ya viumbe havina huwezo wakusikia je ni kwasababu mungu amewaumba ivyo? Au ni kwasababau ya mazingira yanayo wazaunguka ndo  yamewafanya wawe ivyo? Katika kujiuliza maswali haya mawili nikakundua kuwa siyo kila kiumbe kimekija duniani kikiwa hakina uwezo wa kusikia lahasha  japokuwa kiukweli kuna ambavyo vimekuja ivyo ivyo tu duniani hii haina shida kwasababu ndivyo mungu alivyo amua viwe hiyo.

Swali langu lapilli je hao viumbe amabavyo wamekuja kwenye uso wadunia wakiwa na uwezo wakusikia lakinai kutokana na sababau fulanifulani hawana  huwezo tena wakusika.na hii acha na wale ambao kwasababu ya “biological na physical factors” wamekuwa hawana tena huweza wakusikia kwa mfano magonjwa na ajali.hili kundi tuliache kuna kundi linguine hawa ni wale ambao kwasababu ya hila za viumbe vingine hawana tena huwezo wao wakusikia nahii ni kwasababu ya nguvu kubwa amabayo viumbe wenye nguvu hutunia ili kuhakikisha wale viumbe wanyonge hawana tena huwezo wakusikia.viumbe hawa ndo wenye madaraka akubwa ,pesa ,elimu na majeshi ya kutosha yenye silaha kali kwahajili ya kukandamiza viumbe wanyonge. Wahenga walisema “mnyonge myongeni lakin mpeni haki yake”. Watu hawa wakale walikuwa wanamaanisha kuwa atakama unamkandamiza myonge hakikisha haki yaki yake unampatia.viumbe hawa wenye nguvu na mamlaka wanapo wakandamiza viumbe wanyonge kwakuwadanganya. Wanasahau kuwa watu hawa siyo kwamba hawaoni au kusikia Yale wanayo ya sema mabungeni Na matukio wanayo tenda.

Kwamfano viumbe hawa wenye mamalaka na nguvu wanapoa amua kutumia jeshi ili kuwafanya viumbe hawa wanyonge kuogopa katika kudaii hakia yao yamsingi ambayo imeainishwa kwenye katiba ya jamiii ya viumbe hao sio kwamba viumbe hawa wanyonge hawoni lahasha wana ona lakini tu hawana lakufanya kwakua hawana mtetezi wao.swali ambalo najiuliza je kazi ya jeshi nini?, je ni kulinda watu pamoja na mali zao au kuwafanya watu kuogopa tabaka tawala. apa ndipo unapo gundua kuwa kunabaadhi ya madaraka ambayo viumbe wanavyo vinawpa ujeuri na sifa ya kufanya kila ambacho wanataka kufanya.mfanao katika katiba ya viumbe Fulani katiba hiyo imempaa kiongozi wajuu wa seriakli madaraka ambayo kimsingi yana mlevya kiongozi huyo kwani kiongozi huyo ndiye amiri jeshi mkuu na ndiyo kiongozi menye madaraka ya juuu kabisa katika serikali ivyo kila ambacho ana sema huwa kina tekelezwa kawasababu ya vyeo alivyonavyo na kusahahu kuwa uongozi ni zamana. kiongozi mmoja wa nchi Fulani haliwa kusema kwamba kiongozi asiye fanya yale wananchi ambayo wana taka hafai kuwa kiongozi kwani kiongozi anapaswa kuwafuta watu machozi kutokana na shida walizo nazo.katika nazaria moja wanafalsafa  wanasema viumbe wanyonge wanahamua kuingia mkataba na viumbe wenye nguvu kutoa haki zao ,uhuru wao na kila kitu cha kwao kwa tabaka lenye nguvu ili tabaka hilo liwalinde katiaka shida mfano njaa ,vita na majanga hasilia .lakini hi haifanyika imewahi kusikika kiongozi Fulani katika nchi Fulani akisema yeye ajaleta tetemeko la ardhi ambalo liliaribu vitu mbalimabali na hata kuchuka huai wa watu. Hii ina manisha kiongozi huyu hana sifa za kuwa kiongozi bora kwani kiongozi bora niyule ambaye anaona tatizo la watu kama tatizo la nyumabni kwake.

Upole wangu usikuponze,

Ukimya wangu usikupumbaze,

Ukazani sioni unayo fanya,

Naona,naona  na sikia pia.

 

                                                                 Nakuvumilia tu,                                                

Nasuburia nuru ikumulike,

Labda utabadilika,

Naona, naona Na sikia pia.

 

Abraham Lincoln aliwahi kusema democracy is the power of the people by the people and for the people.na kwamazo ya kawaida tu unaposema democracy unamaanisha watu ndiyomwenye mamlaka ya kuwapa viongozi zamana mbalibali hii hata kwenye katiba ya jamuhuri ya mungano wa Tanzania hinatambulika kuwa wanachi ndiyo wenye mamlaka ya kuwachagua viongozi wa serikali. Katika nadharia fulania ambayo hina kubaliwa na wasomi mabalimabali duniani “social contract theory”, nadharia hi ina kubali kuwa wananchi wanaingia makubaliano na viongozi ili viongozi hao waweze kutatua shida Fulani Fulani ambazo huwakumba wananchi wa jamii husika na haya makubaliano. Yanaweka baada ya wananchi kuwachagua viongozi Fulani wangazi Fulani katika serikali.lakini chakushangaza ni kwamba punde viongozi wanapo pewa hiyo zamana hawakumbukuki tena wanachi wananaza kuwekeza kwenye familia zao na kuwasahau wananchi mafano mzuri ni kwa kiongozi wa afrika kusini jacobo zuluma huyu kiongozi halisahau wananchi kabisa badala ya kufanya vitu kwaajili ya watu.akajilimbikizia mali na kutumia feza za serikali kwa kujenga majumaba ya kifahari huku wananchi wanateseka.uongozi ni hekima na ndiyo maana mfalme sulema mungu alipo muuliza nikupe nini akamwambia nipe hekima ya kuwaongoza watu wa taifa hili. Kuwa kiongozi siyo jambo la mchezo huitaji hekima Na maarifa mengi sana.kiongozi mzuri niyule anaye umizwa na matatizo na vilio vya watu wake na kufanya yale ambayo kidemokrasia na kibinadamu ya faa.

Mwanangu mwangu Mimi mama yako,

Hekima yangu na busara zangu,

Huzifuati tena wafuata tama zako,

Mfupa ulimpoza fisi mwanangu,

Mimi mama yako nikumbuke.

 

Kumbuka kila chenye mwanzo kina mwisho,

Mwanzo mtamu mwanangu,

Mwisho huwa Na majonzi na vilio,

Kumbuka ahadi zako sija sahau,

Mimi mama yako nikumbuke.

 

Kilio changu na kifike mbele zako,

Kula kwako kwatokana Na mimi,

Mvinyo Na anasa ufanyavyo vya toka kwangu,

Mimi mama yako nikumbuke.

Wahenga walisema kelele za chura hazi mmyimi tenmbo kunywa maji kweli kabisa lakini kelele hizo humtia hofu tembo japokuwa anajikaza na hatakunywa maji.hii katika hualisia wamaisha ina maanisha tembo ndo serikali yenye nguvu yakusema kitu chochote kiwe na kikawa lakini siyo kwamba watu watabaka la chini hawa semi lahasha wanasema lakini tabaka la juu  hushupaza shingo na kijiona wamefika lakini ata maneno ya mwenyezi mungu yana sema ashupaze shingo yake ita vunjika.kila kitu kwenye hi dunia kina mwisho wake ata kama tabaka la juu hawasikii sauti na vilio vya tabaka la chini kila chenye mwazo hakikosi mwisho.tabaka la chini wanaweza wasiseme kupitia sauti zao juu ya vitendo vinavyo fanya na tabaka la juu lahasha wana weza kufanya migomo, kuharibu mali ,mabli mbali katika jamii ata kufanya fujo na mambo kama hayo kama kupaza sauti zao juu ya jambo Fulani amabalo siyo jema mafano katika katiba ya jamuri ya muungano wa Tanzania imeeleza wazi kuwa wanachi wako huru kufanya au kusikia kitu chochote ila kwa kufuata  sheria za nchi. Nchi kama Tanzania katiba ndiyo msemaji wa mwisho kwenye kila kitu ivyo katiba ndiyo muongozo wa nchi.chakusahangaza katiba imebaki kuwa jina tu tabaka la juu hawafuati yele yaliyomo kwenye katiba wanfanya yale yaliyoko kwenye vichwa vyao hii haipendezi ata kidogo kwani katiba ni watu. Ivyo basi serikali na kila maamlaka zilizoko kwenye jamii inawapasa kufanya yale yaliyo kwenye katiba na sheria mbalimbali za nchi ili kuleta maendele kwenye jamii husika.

Hufanya yaliyo kwako,

Wasahau Yale makubaliyo,

Nimechoka matedo yako,

Uvumilivu mwisho.

Tafakari yangu napenda niishie hapa siyo Kwa sababu labda sina cha kusema hapana viko vingi vya kusema kwani ata mm niko tabaka la chini ivyo kuna mateso mengi Sana ambayo tuna pitia sisi watu wa chini ila ashukuriwe mungu pamoja na watu mbalimbali kwa kuweza kupaza sauti zao. Juu ya mambo mablimbali ambayo Yana tokea katika jamaiii ivyo basi ili watu watabaka la chini kuweza kuondokana na hali kama izi vitu vya kufanya:

  1.  kuacha unafiki Na hali ya ukengee. Watu wa tabaka lachini wengi wetu tuna ngata nakupuliza kama panya hii haito weza kuleta mabadiliko ya haina yeyote kwani kutakua hakuan umoja na msikamano mafano kipindi cha kuwafanya watu weusi waliokuwa utumwani ameriaka kuridi afrika sababu iliyo fanya kitu icho kuto kufanikiwa kwa aslimaia miamoja ni unafiki wa watu weusi na ukenge(back to Africa movement).

 

  1. 2 .Kufanya mapinduzi na mabadiliko kwa mujibu wa malcom x na martin king j kufanya mabadiliko siyo kwa kushika mtutu wa bunduki hapana mabadliko yakatuja kwa watu kufanya maamuzi wenye juu ya mambo yana yo wasibu yaani hali ya kuchoshwa na matendo wanayo ya fanya tabaka la juu.lakini siyo kwa kufanya vita au mapigano ila kwa kufuata misingi ya kidemokrasia.

 

 

  1. 3.Kutokukubali hali tunayopitia au kutokuridhika Na hali ya kiuchumi, kijamii Na kisiasa. Changamoto nyingine ambayo watu weusi tunayo tuna hali ya kukubali hali tunayo pitia Na kusema mungu atafanya njia kweli mungu ndo kila kitu ila kuna muda inabidi kufanaya mamuzi ambayo yataleta faida ata kwa kizazi kinacho kuja.

 

                                 If you want different act different.

 

                                                                         By

                                                                                     James chami


Comments

chami#24

AMAZING PEOPLE

ICE IN TROPICAL CLIMATE

jab we met: